Lisa College Lisa College Lisa College
Urembo

Urembo

Mafunzo kamili ya urembo wa uso, nywele, na mapambo ili kukupa ujuzi wa kitaalamu.

Ususi

Ususi

Jifunze ususi wa kisasa na wa kitamaduni. Kutoka braids hadi dreadlocks na mitindo mingine.

Ushonaji

Ushonaji

Mafunzo ya ushonaji wa mavazi ya kisasa na ya kitamaduni. Pata ujuzi wa kushona kwa weledi.

Udereva

Udereva

Mafunzo ya udereva kwa wanaoanza na wenye uzoefu. Pata leseni yako ya udereva kwa urahisi.

shape
icon

Urembo

Mafunzo kamili ya urembo wa uso, nywele, na mapambo ili kukupa ujuzi wa kitaalamu.

Jifunze Zaidi
icon

Ususi

Jifunze ususi wa kisasa na wa kitamaduni. Kutoka braids hadi dreadlocks na mitindo mingine.

Jifunze Zaidi
icon

Ushonaji

Mafunzo ya ushonaji wa mavazi ya kisasa na ya kitamaduni. Pata ujuzi wa kushona kwa weledi.

Jifunze Zaidi
icon

Udereva

Mafunzo ya udereva kwa wanaoanza na wenye uzoefu. Pata leseni yako ya udereva kwa urahisi.

Jifunze Zaidi
shape
About
About
About
* Lisa College * Mafunzo Bora kwa Vitendo
Kuhusu Sisi

Chuo kinachotoa mafunzo bora ya urembo, ususi, ushonaji na udereva

Lisa College ni chuo kimesajiliwa na NACTVET (REG/NACTVET/1042P). Tunatoa mafunzo ya vitendo katika urembo, ususi, mapambo, ushonaji na udereva. Tuna wanafunzi katika miji ya Dar es Salaam na Mwanza.

icon

Mafunzo ya Urembo na Ususi

Wakufunzi wetu watafundisha mbinu zote za urembo, ususi na mapambo kwa weledi wa hali ya juu.

icon

Ushonaji na Udereva

Pata ujuzi wa ushonaji wa kisasa na mafunzo ya udereva kwa wanaoanza na wenye uzoefu.

icon

10+

Mafunzo Mbalimbali

icon

50+

Wakufunzi & Wafanyakazi

icon

2k+

Wahitimu

icon

500+

Wanafunzi