Lisa College Lisa College Lisa College
bg-banner
shape

Mafunzo ya Urembo

Mafunzo ya Urembo

Jenga Future Yako na Lisa College!

Je, unatamani kujiajiri au kupata ajira kupitia ujuzi wa vitendo? Lisa College ndiyo sehemu sahihi kwa ajili yako!

Chuo kimesajiliwa na NACTVET (REG/NACTVET/1042P) na kinatoa mafunzo ya kitaalamu katika fani mbalimbali za urembo, ushonaji, na huduma.

Lisa College Urembo
Mafunzo Yetu

Kozi Zinazotolewa

Lisa College inatoa mafunzo ya kitaalamu katika nyanja mbalimbali za urembo, ushonaji, na huduma. Mafunzo yetu yameundwa kwa kuzingatia viwango vya kitaifa na mahitaji ya soko la ajira.

Urembo
Makeup

Makeup za Aina Zote

Mafunzo kamili ya makeup kwa ajili ya sherehe, harusi, picha, na matukio mbalimbali.

Nywele
Ususi

Ususi wa Nywele (Hair Dressing)

Hair dressing, styling, dreadlocks, na mitindo yote ya kisasa na ya kitamaduni ya nywele.

Kucha
Kucha

Utengenezaji wa Kucha

Mafunzo ya kitaalamu ya utengenezaji na upambaji wa kucha kwa kutumia vifaa vya kisasa.

Mapambo
Mapambo

Mapambo ya Kumbi za Sherehe

Ubunifu na upambaji wa kumbi za sherehe, harusi, na matukio mbalimbali kwa weledi wa hali ya juu.

Ushonaji
Ushonaji

Ushonaji na Designing

Mafunzo ya ushonaji wa mavazi ya kisasa, ubunifu wa nguo za harusi, na fashion design.

Keki
Keki

Utengenezaji na Upambaji wa Keki

Mafunzo kamili ya kuoka na kupamba keki kwa ajili ya harusi, sherehe na biashara ya mikate.

Massage
Massage

Facial & Full Body Massage

Mafunzo ya kitaalamu ya massage ya uso na mwili mzima kwa kutumia mbinu za kisasa za tiba na urembo.

Henna
Henna

Henna na Piko

Mafunzo ya sanaa ya henna na piko kwa ajili ya mapambo ya mikono, miguu, na matukio mbalimbali.

Dreadlocks
Dreadlocks

Dreadlocks

Mafunzo ya kutengeneza na kutunza dreadlocks kwa viwango vya kitaalamu.

Ada Zetu

Ada za Mafunzo

Tuachie gharama nafuu na ubora wa mafunzo. Chagua kozi inayokufaa na ujenge mustakabali wako.

icon

Kusuka Tu

Miezi 2

Tsh 250,000

  • Mafunzo ya ususi
  • Vifaa vya kujifunzia
  • Cheti cha kuhitimu
Jiandikisha
MAARUFU
icon

Kusuka, Makeup na Salon

Miezi 3

Tsh 300,000

  • Kusuka, Makeup, Salon
  • Vifaa vya kisasa
  • Cheti cha NACTVET
Jiandikisha
icon

Kusuka, Makeup, Salon na Malemba

Miezi 6

Tsh 600,000

  • Kozi kamili ya urembo
  • Vifaa vyote bila malipo
  • Cheti & ushauri wa kazi
Jiandikisha
Ada Kamili

Orodha Kamili ya Ada

# Kozi Muda Ada
1Kusuka TuMiezi 2Tsh 250,000
2Kusuka, Makeup na Mambo yote ya SalonMiezi 3Tsh 300,000
3Kusuka, Makeup, Salon na Kufunga MalembaMiezi 6Tsh 600,000
4Kushona NguoMiezi 3Tsh 300,000
5Kushona Nguo na DesigningMiezi 6Tsh 600,000
6Ubunifu wa Nguo za Harusi na DesigningMiezi 2Tsh 600,000
7Kupika na Kupamba KekiMwezi 1Tsh 300,000
8Kupamba KumbiMiezi 2Tsh 400,000
9KuchaMiezi 2Tsh 300,000
10Kupaka Hina na PikoMwezi 1Tsh 150,000

🏠 Hostel: Tsh 50,000 kwa mwezi (Kinyerezi campus)

Kwa Nini Sisi

Kwa Nini Uchague Lisa College?

icon

Mafunzo kwa Vitendo

Mafunzo kwa vitendo kila siku, si nadharia tu.

icon

Wakufunzi Wenye Uzoefu

Wakufunzi wenye weledi na uzoefu wa miaka mingi.

icon

Vifaa vya Kisasa

Vifaa vya kisasa vya kujifunzia kwa vitendo.

icon

Cheti cha NACTVET

Cheti kinachotambulika na NACTVET kitaifa.

icon

Mazingira Salama

Mazingira salama na rafiki kwa wanafunzi wote.

icon

Fursa za Ajira

Fursa za kujiajiri na kuajiriwa baada ya mafunzo.

icon

Malipo kwa Awamu

Malipo ya ada kwa awamu ili kila mmoja amudu.

Matawi Yetu

Wasiliana Nasi au Tembelea Tawi Lillio Karibu Nawe

icon

Kinyerezi Mwisho (Songas)

Simu: 0763 493 716

icon

Gongo la Mboto (Kituo Kipya)

Simu: 0670 482 139

icon

Mbagala (Zakhem)

Simu: 0654 806 567

icon

Mwanza (Kishili)

Simu: 0783 664 456

📢 MUHULA MPYA UNAENDELEA!

✨ Soma leo, fanikiwa kesho.

📞 Piga simu au WhatsApp sasa: 0763 493 716